Wapi nitapata mkopo kwa ajili ya kulipia masomom yangu ya Masters!!

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Heshima zenu wakuu..
Naombeni taarifa ya sehemu nitakapoweza kupata scholarship kwa vyuo vya hapa nchini kwa ajili ya Masters. Mimi napendelea zaidi SUA kwa kuwa digrii yangu ya kwanza niliipata hapo na nataka kuendeleza fani. Pia ningependa nipate taarifa ya sehemu ninayoweza kupata mkopo kwa ajili ya kulipia masomo hayo zaidi ya bodi ya mikopo.
Asanteni..
 
Omba mkopo bodi ya mikopo.
 
Kuna scholarship zimetoka za kwenda kusoma india omba uende ukasome kwa information zaidi wasiliana na ubalozi wa india.
 
tumia elimu uliyonayo kukusanya pesa kisha ndo ukasome,kama umeajiliwa tumia kila mbinu umshawishi mwajili wako wakusomeshe hata kama ni kwa makubaliano flani ya kihalali.nakutakia mafanikio mema
 
Huwa kuna scholarship za Waswidi (SIDA SAREC) na Warorway (NOMA) kila mwaka. Jaribu kufuatilia chuoni kwenyewe wanaweza kukupa clues.
 
Mkuu kaeso, Kama wanavyo fanya wezetu wakenya ebu jaribu kuitisha harambee ili upate kianzio toka kwa ndugu, marafiki, jamaaa na ma classmate nina imani kabisa utapata msaada!
 
Mkuu kaeso, Kama wanavyo fanya wezetu wakenya ebu jaribu kuitisha harambee ili upate kianzio toka kwa ndugu, marafiki, jamaaa na ma classmate nina imani kabisa utapata msaada!

Hivi hii inawezekana?
 
Kuna scholarship zimetoka za kwenda kusoma india omba uende ukasome kwa information zaidi wasiliana na ubalozi wa india.
Asante kwa taarifa ngoja nifuatilie.
 
Mkuu kaeso, Kama wanavyo fanya wezetu wakenya ebu jaribu kuitisha harambee ili upate kianzio toka kwa ndugu, marafiki, jamaaa na ma classmate nina imani kabisa utapata msaada!
Hii ni approach nzuri lakini kabla ya kuitisha inabidi kwanza nizichange mwenyewe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…