Wapi nitapata mkopo wa dharura?

Wapi nitapata mkopo wa dharura?

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habari wakuu,

Nahitaji mkopo wa dharura ndani ya 24 hours wa sh million 3 kwa ajili ya biashara yangu. Mwenye kufahamu taasisi au mtu etc ambaye anaweza nikopesha hicho kiwango anifahamishe na taratibu zikoje. Nipo dar

Thanks
 
kijana13

Kama una gari una hati ya Nyumba hapo utawapata.
Ila kama ni blaa blaa na hakuna dhamana ya thamani ya zaidi ya 10m hapo ni issue
 
Last edited by a moderator:
KAJALIBU KWA MATAPEL ONLINE CREDIT SACCOS au LPESA utajuta
 
mkopo unapatikana, ila dhamana yako tuonyeshe
Riba mrejesho 7%
Mawasiliano 0759812567
 
Mtu hasemi yuko wapi au anamaanisha nn? yaani yuko kigoma nimpe jina la taasisi iliyo dar atakuja? halafu kakosa wa kumuuliza mtaan kwake?
 
Back
Top Bottom