kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,631 Jun 22, 2015 #1 Habari wakuu, Nahitaji mkopo wa dharura ndani ya 24 hours wa sh million 3 kwa ajili ya biashara yangu. Mwenye kufahamu taasisi au mtu etc ambaye anaweza nikopesha hicho kiwango anifahamishe na taratibu zikoje. Nipo dar Thanks
Habari wakuu, Nahitaji mkopo wa dharura ndani ya 24 hours wa sh million 3 kwa ajili ya biashara yangu. Mwenye kufahamu taasisi au mtu etc ambaye anaweza nikopesha hicho kiwango anifahamishe na taratibu zikoje. Nipo dar Thanks
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Jun 22, 2015 #3 kijana13 Kama una gari una hati ya Nyumba hapo utawapata. Ila kama ni blaa blaa na hakuna dhamana ya thamani ya zaidi ya 10m hapo ni issue Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kijana13 Kama una gari una hati ya Nyumba hapo utawapata. Ila kama ni blaa blaa na hakuna dhamana ya thamani ya zaidi ya 10m hapo ni issue
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Jun 22, 2015 #4 Nenda Finca mkuu, ila kubali na maumivu mana ni wezi wale
J Janosi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 220 Reaction score 39 Jun 22, 2015 #5 KAJALIBU KWA MATAPEL ONLINE CREDIT SACCOS au LPESA utajuta
Heavy equipment JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,456 Reaction score 1,005 Jun 23, 2015 #6 mkopo unapatikana, ila dhamana yako tuonyeshe Riba mrejesho 7% Mawasiliano 0759812567
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,215 Reaction score 322 Jun 24, 2015 #7 Mtu hasemi yuko wapi au anamaanisha nn? yaani yuko kigoma nimpe jina la taasisi iliyo dar atakuja? halafu kakosa wa kumuuliza mtaan kwake?
Mtu hasemi yuko wapi au anamaanisha nn? yaani yuko kigoma nimpe jina la taasisi iliyo dar atakuja? halafu kakosa wa kumuuliza mtaan kwake?