Wapi nitapata na kufungiwa Vitz compressor?

Wapi nitapata na kufungiwa Vitz compressor?

Wapi nitapata na kufungiwa Vitz compressor na Kwa bei gani?
fika kariakoo mtaa wa lindi ulio karibu na shule ya benjamin william mkapa..ulizia kwa ally specialist wa ac na spare parts kama hizo compressor ata kuhudumia asante.
 
Back
Top Bottom