Wapi Nitapata Nguo za aina hii?

Wapi Nitapata Nguo za aina hii?

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
632
Reaction score
1,910
Nimejaribu kuzunguka maduka mengi nimekosa naombeni location wakuu...Nipo mwanza kwa sasa ila next week nitakuwa Dar
IMG_2929.jpg

IMG_2929.jpg

IMG_2929.jpg
 
Shida ni hio zipu ama? Nenda town kule soko kuu wanapouza nguo kiume za jumla jaribu kuulizia huko
 
Back
Top Bottom