Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,837
Okay, Mimi sio mzoefu sana na mambo ya kununua online, nilidhani nitapata hapa hapa Tz, nashukuru mkuu, nitajaribu onlineKwanini usinunue online, direct from Thailand unaletewa mpaka mlangoni.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Okay, Mimi sio mzoefu sana na mambo ya kununua online, nilidhani nitapata hapa hapa Tz, nashukuru mkuu, nitajaribu online
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafamu yanapopatikana mashati mazuri online please nijuzeKwanini usinunue online, direct from Thailand unaletewa mpaka mlangoni.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Katika vitu nahangangaika kupata ni mashati mazuri hasa casual wear! Zamanin kulikua na duka kariakoo ,jamaa alikuwa analeta mashati ya us, yalikuwa ghali kwa kipindi kile ila yalidumu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kwenda hapo kama sikosei, nilichoona Ni Bei tu kubwa ila mashati ya kwaida tu,Mimi pia mkuu, ila kuna mtu kaniambia yanapatikana Posta duka fulani karibu na round about yenye askari, bei ndo zile laki au hamsini moja, pia kuna jamaa wanauza city mall, ninachoogopa ni kuuziwa mashati ya kariakoo kwa bei kubwa, napenda mashati unique sio haya ya kkoo, mkivaa kama uniform
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi kwenda hapo kama sikosei, nilichoona Ni Bei tu kubwa ila mashati ya kwaida tu,
Hofu yako hata Mimi pia ninayo !kuuziwa mashati Yale Yale ya kariakoo kama uniform kwa Bei ya juu, na iliwahi kunitokea quality plaza nikinunua shati ghali kufua mara moja kwisha habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wakuu, katika maongezi na jamaa yangu mmoja(amewahi kusoma Thailand) aliniambia kwamba Thailand wanatengeneza nguo nzuri sana, kuna mtu pia aliwahi vaa shati kali hapo zamani ni rafiki yangu akaniambia kwamba aliletewa na ndugu yake toka Thailand. Hivyo nami nataka kujua kwa hapa Tanzania nani ni muuzaji wa nguo toka Thailand, nimejikuta navutiwa na nguo za hawa jamaa. Msaada Tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaagizaje hayo mashati ya India? Bei zake zikoje?Mkuu ni vigumu kupata mashati mazuri kwa hapo TZ yanayotoka nje ya ya TZ, labda uwagize, unaweza kuambiwa kuwa nguo hii ni kutoka Thailand na ni kweli inatoka Thailand lakini sio ya ubora kama hiyo uliokuwa unahitaji, mm nilikuwepo India na hao jamaa wana vitu vizuri sana, nilikuja na nguo kutoka India kila mtu ananiulizia na tulikwenda k/koo kutafuta na tulizikuta lakini sio mzuri, naweza kusema zinazoletwa hapa TZ ni grade ya 4 ......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuyapa mazuri ya huko India ni labda uwe na mtu huko huko India na bei zake ni ndogo sana ukilinganisha na hapa kwetu TZ
Sent using Jamii Forums mobile app