Habari JF
Mimi ni dereva bajaji, sasa nimeona kutegemea chanzo kimoja cha bajaj ni changamoto
Nimeamua kutafuta hili wazo la kuuza oli hasa M-GAS na TOTAL. Kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote huku naendelea na kazi yangu!
Naomba anaefahamu chimbo anisaidie
Nawapenda sana JF