wapi nitapata original laptop backpack?

wapi nitapata original laptop backpack?

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
mimi ni mdau from arusha na niko deeply in need na begi la mgongoni kwa ajili ya kubebea vitabu pamoja na laptop yangu,nimejaribu mabegi ya hp lakini naona quality yake sio nzuri sana,a durable and stylish itakuwa poa,anybody who can help me out plz reply to this
 
kuna sehemu inaitwa Krokon... Kama unaenda uga limited... Hapo utapata variety of bagz.. Na hizo back pack za laptops zina range from 35000-50000... Choice is yours..

peace, love & blessings...
 
thanks sana michael i got one na its so unique and exact,i aimed sana kwa a brand new but naona hizo zinafaa,thanks sana
 
Back
Top Bottom