mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 996
- 2,636
go ebay
Mcheki Jerry View attachment 1820135
Wakuu huyu Jerry bei zake zipoje kea service ya kawaida tu? Maana namuona Kama fundi msomi, aliye tayari kujifunza kila sikuMcheki Jerry View attachment 1820135
Ana bei reasonable inategemea na aina ya gari kwasababu huwezi fananisha IST na Vieteee[emoji1787]Wakuu huyu Jerry bei zake zipoje kea service ya kawaida tu? Maana namuona Kama fundi msomi, aliye tayari kujifunza kila siku
simple na uwe na amani 100% mzigo utafika. weka clear specicication za hiyo sensor na ni ya gari ya mwaka ganisjawahi kuagiza nje ila ngoja nijifunze
Mcheki Isanga family akuchekie. Ukiwa Mbeya spea za gari za Ulaya ni rahisi umecheki mitaa ya Soweto/Kabwe au agiza Tunduma pale ukiingia gereji zilizo upande wa Nakonde utapata haraka.
simple na uwe na amani 100% mzigo utafika. weka clear specicication za hiyo sensor na ni ya gari ya mwaka gani
Ukikosa huko mcheki Romeo....sawa nashukuru mkuu ngoja nimcheki
Ukikosa huko mcheki Romeo....
ukifika ilala muulizie kwa mafundi wa magari wanamjua....
ana maduka ya spea
ukipeleka gari kwake mwambie alicheki then akupe list ya vyote vyenye shida na bei na labour charges then ndo mkubaliane nimekuambia hivi maana ukimuacha tu ukamwambia nitengenezee gari usishangae ukija kuchukua gari lako ukakutana na invoice ya milioni nne wakati we ulikuwa na bajeti ya laki 8. Kingine huenda wewe ukawa na aina ya oils unazoziamini mfano wewe unaamin gear box oil fulan ndo nzuri kwa gari unamkuta jerry kakuwekea oil zake pendwa za atlantic au spare unazozipenda mfano shock up wewe unapenda monroe, but ukakuta jerry kakuwekea kyb. ni fundi mzuri but ukijichanganya tu anakupiga mihelaWakuu huyu Jerry bei zake zipoje kea service ya kawaida tu? Maana namuona Kama fundi msomi, aliye tayari kujifunza kila siku
Thread Closed!!!