City mall kwa ley au kwa Tuwano SinzaNaomba kuuliza hivi ni wapi nitapata pete original ya gold kwa gharama isiyo zidi milion moja.
Napenda sana kuvaa pete nzuri ndo urembo wangu.
SahihiLabda ungeuliza kwanza jinsi ya kuitambua Gold org ndio muhimu zaidi.