Wapi nitapata private car za kwenda Mwanza jion hii?

Wapi nitapata private car za kwenda Mwanza jion hii?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Hello

Wapi napata private car za kwenda mwanza jion hii

Kama unajua au una route hiyo pia nijuze

Regards
Jf
Mafofo
 
Nenda pale Kituo cha Kibo, Ubungo utapata IT (Gari za Transit kwenda Rwanda/Burundi), hadi Kahama au ukabahatika ya Mwanza.
 
pande IT ikakuache Tinde pale... hapo utajua mwenyewe unafikaje Mwanza.....
 
Akismea ni KE watu ambao walikuwa hawana hata na nia ya kwenda Mwanza wanaweza toa magari yao wampeleka. Ila akitupiamo na kapicha sio aseme kwa maandishi tu. Maana anaweza kuwa KE lakini ukakuta kairthi sura ya baba.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda kibo au misugusugu kama muda upo nenda bandarini wanakitolea magari madogo IT pale ni chap unapata IT utashuka Tinde then pale itakua imeshakua asubuhi saa nne kesho utakua mwanza
 
Back
Top Bottom