Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Akismea ni KE watu ambao walikuwa hawana hata na nia ya kwenda Mwanza wanaweza toa magari yao wampeleka. Ila akitupiamo na kapicha sio aseme kwa maandishi tu. Maana anaweza kuwa KE lakini ukakuta kairthi sura ya baba.nikuulize pia ni ME au KE...samahani...
Gharama zao zikoje?Gari za I.T zinapatikana Nyingi sana. Nenda Kituo cha Kibo/Rombo utapata au Mbezi mwisho
Gharama zao zikoje?
Ahaa sawa asante kwa msaada, ila mbona tofauti ni ndogo sana na wa bus?Inategemea mkuu ila anandaa kwanzia elf 40
40 anaishia Nzega au kahama?Inategemea mkuu ila anandaa kwanzia elf 40
Ahaa sawa asante kwa msaada, ila mbona tofauti ni ndogo sana na wa bus?
40 anaishia Nzega au kahama?
HahahahaNgoja nikupe namba za air tanzania wana mabus siku hiz
Kama kuna madalali lazima izidi 50k au 45Makubaliano mkuu, ukifika eneo la Tukio ndo utajua kila kitu maana kuna madalali pia Pale wako kama wapiga debe
Kama kuna madalali lazima izidi 50k au 45
[emoji23][emoji23][emoji23]Akismea ni KE watu ambao walikuwa hawana hata na nia ya kwenda Mwanza wanaweza toa magari yao wampeleka. Ila akitupiamo na kapicha sio aseme kwa maandishi tu. Maana anaweza kuwa KE lakini ukakuta kairthi sura ya baba.
Labda anataka LIFT!Naam ni tofauti ndogo sana sasa ni ww uchague unaweza kupata Bus la usiku na likubebe ki luxury kama ilivyo kwa Private Car?