EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mi sio msafiri ila some weekends nasafirishaga abiria nikiwa narudi home so nauli za baada ya mabasi zinapandaga. Maana abiria analazimika kutolala au alale aongeze garama za chumba one more night. Wengine wanawahi dili au kazi. Akipata kosta well and good ila gari ndogo ya abiria4 na driver? sijui lakiniZingatia neno makubaliano mkuu, ikiwezekana kaongee na Dereva mweleze hali halisi
ngoja mwenye uzi aje kujibu😂😂😂Naam ni tofauti ndogo sana sasa ni ww uchague unaweza kupata Bus la usiku na likubebe ki luxury kama ilivyo kwa Private Car?
Watu vichwa maji kweli.Nenda pale Kituo cha Kibo, Ubungo utapata IT (Gari za Transit kwenda Rwanda/Burundi), hadi Kahama au ukabahatika ya Mwanza.
Ame kwambia yuko dar?Nenda kibo au misugusugu kama muda upo nenda bandarini wanakitolea magari madogo IT pale ni chap unapata IT utashuka Tinde then pale itakua imeshakua asubuhi saa nne kesho utakua mwanza
Hili nalo neno!Ame kwambia yuko dar?
Vilaza wengi humu
Gari za I.T zinapatikana Nyingi sana. Nenda Kituo cha Kibo/Rombo utapata au Mbezi mwisho
Nenda pale Kituo cha Kibo, Ubungo utapata IT (Gari za Transit kwenda Rwanda/Burundi), hadi Kahama au ukabahatika ya Mwanza.
pande IT ikakuache Tinde pale... hapo utajua mwenyewe unafikaje Mwanza.....
nikuulize pia ni ME au KE...samahani...
Akismea ni KE watu ambao walikuwa hawana hata na nia ya kwenda Mwanza wanaweza toa magari yao wampeleka. Ila akitupiamo na kapicha sio aseme kwa maandishi tu. Maana anaweza kuwa KE lakini ukakuta kairthi sura ya baba.
Kweli, tena maji ya Bahari! Ahsante kwa ujuba wako, Mwenyezi Mungu akubariki sana.Watu vichwa maji kweli.
Mleta uzi hajaulizwa yupo maeneo gani ya nchi, anaelekezwa aende Kibo au Ubungo apate IT. Je, kama yupo Musoma inabidi aje Dar ndio apate usafiri huo?