zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Open Univesrsity of Tanzania wanatoa kozi fupi za hizo applications, STATA, SPSS na nyinginezo. Wapo Kinondoni kwa Dar, na mikoani pia wapoWakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level) na pia natamani kujifunza R na Python n.k kwa ajili ya shughuli zangu za kitafiti.
Wapi naweza pata taasisi au private consultant kwa ajili ya short course hizi.
Cc MALCOM LUMUMBA Gerald .M Magembe Chige
Nenda humu...Wakuu ninatamani kuongeza ujuzi kwenye eneo la statistical software za kufanyia data analysis. Natamani kupata professional short-course Ili kujinoa zaidi kwenye Excel, SPSS, AMOS (Advanced Level) na pia natamani kujifunza R na Python n.k kwa ajili ya shughuli zangu za kitafiti.
Wapi naweza pata taasisi au private consultant kwa ajili ya short course hizi.
Cc MALCOM LUMUMBA Gerald .M Magembe Chige
Ahsante sana mkuuOpen Univesrsity of Tanzania wanatoa kozi fupi za hizo applications, STATA, SPSS na nyinginezo. Wapo Kinondoni kwa Dar, na mikoani pia wapo