B Bongotunacheza JF-Expert Member Joined Dec 7, 2018 Posts 983 Reaction score 2,306 Jun 27, 2024 #1 Habari zenu wana jamvi? Ninataka kuandika bango kwenye shuka Mimi mwenyewe bila kupeleka kazi kwa fundi. Ninauliza ni wapi nitapata rangi maalumu kwa ajili ya kuandika kwenye mashuka? Nipo dsm. With much thanks in advance
Habari zenu wana jamvi? Ninataka kuandika bango kwenye shuka Mimi mwenyewe bila kupeleka kazi kwa fundi. Ninauliza ni wapi nitapata rangi maalumu kwa ajili ya kuandika kwenye mashuka? Nipo dsm. With much thanks in advance