Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Mbasa kweli watamu. Mbamba Bay maeneo ya Kilosa kwenye ile lodge wanauzwa na wanalika.Naam watu wa nyanda za juu kusini watanielewa zaidi
Nadiriki kusema hakuna samaki mtamu kuliko duniani.Yes ndio nunekula sangara,sato,kambale,kibua,changu,chuchunge na wemgineo lakini katika samaki mapenzi ya dhati yalibaki kwa mbasa wa ziwa nyasa.
Roho yangu ilisuuzika barabara kumtafuna samaki yule mwenye ladha Tamu na kipekee na ya kipekee ,mwenye Mafuta Kama mbuzi katoliki.
Nauliza nitawapata wapi dar huu ndio msimu wake Sijali bei Mimi nataka kuwanunua
Nipeni direction southern Highlanders.