I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,039 Reaction score 4,889 Aug 8, 2015 #1 Nimekusanya mzigo mkubwa wa karatasi zilizotumika ambazo ni maboksi na karatasi za ofisini tani kadhaa. Je ni wapi naweza kuuza mzigo huu na bei yake ikoje?
Nimekusanya mzigo mkubwa wa karatasi zilizotumika ambazo ni maboksi na karatasi za ofisini tani kadhaa. Je ni wapi naweza kuuza mzigo huu na bei yake ikoje?