Ndenge Nini
Senior Member
- Jul 28, 2022
- 125
- 216
Nimejaribu kuulizia sana kama hawa jamaa wana agent wao hapa nchini kwetu au Africa mashariki kwa ujumla sijapata, zaidi ninapata bidhaa zao lakini kiukweli sio original kwa zile ambazo nimezipata, nanunua tu sababu ni shabiki wa viatu hivyo, maana wakala nimeulizia ambaye yupo karibu labda South Africa, hivyo naombeni kujua kama kuna sehemu wanapouza aina hizi za viatu ambavyo ni original basi anielekeze nikanunue. Original tafadhali sio copy