...subiri waje:lol::lol:Jaman mwnzenu nataka kufungua bakery hapa dar es salaam, ntapata wapi mashine za ukweli zinazotoa mikate quality.. Na pia ni wapi(location) bakery hii itafaa kuwepo?? Yan ni wapi penye soko zuri?? Naaomb ushaauri wanadaslaam jaman.. Najua co jukwaa appropriate.. Lakin naomba msaada wajamen...
ungeipeleka kule business ungesaidiwa mara moja
Jaman mwnzenu nataka kufungua bakery hapa dar es salaam, ntapata wapi mashine za ukweli zinazotoa mikate quality.. Na pia ni wapi(location) bakery hii itafaa kuwepo?? Yan ni wapi penye soko zuri?? Naaomb ushaauri wanadaslaam jaman.. Najua co jukwaa appropriate.. Lakin naomba msaada wajamen...