Wapi nitapata vifaranga wa Kware?

mm nina kaka yng ambae anauza mayai ya kware pamoja na vifaranga na pia ukitaka nyama yao, anapatikana Zanzibar, Mkunazini mkabala na green garden restaurant
 
Mkuu mie ninao vifaranga waa kware nipo dsm natotolesha mwenyewe bei ni kama ifuatavyo:-
2 weeks-3000
3 weeks-4000
4 weeks-5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…