Wapi Nitapata Wauzaji Wa CD?

Wapi Nitapata Wauzaji Wa CD?

nelvine

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
1,112
Reaction score
1,871
Wanajamvi Km Heading Inavyojieleza Nnahitaji Kuanzisha Bihashara Ya Kuuza CD Hasa Zilizo Tafsiriwa.
Hivyo Nahitaji Kujua Chimbo Hasa La Upatikanaji Wa Mzigo Kwa Bei Ya Jumla.
 
Chimbo ni kariakoo kama vipi nunua mashini yako uanziezifyatua mwenyewe
 
Teknolojia inavyoenda kwa kasi bado unafikiria biashara ya enzi hizo, hii ilipaswa uwe ulishaanza miaka mitano iliyopita ili kwa sasa uwe unajiandaa kukabiliana na teknolojia mpya..
 
Teknolojia inavyoenda kwa kasi bado unafikiria biashara ya enzi hizo, hii ilipaswa uwe ulishaanza miaka mitano iliyopita ili kwa sasa uwe unajiandaa kukabiliana na teknolojia mpya..
tunatofautiana mazingiza na uhitaji
 
Back
Top Bottom