Wapi Nitapata

Wapi Nitapata

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Naomba mnielekeze wapi nitaweza kwenda kununua combat ka zile anazovaa freeman Mbowe.
 
naomba mnielekeze wapi nitaweza kwenda kununua combat ka zile anazovaa freeman mbowe.

kaka jambazi...mimi nina tishwa na jina lako.huenda ukawa ni jambazi kabisa.kwa nini ujiite jina kama hilo?.mbaya zaidi unataka kununua combat!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Weeeeee au ndo unataka kuimalisha jeshi lako?.
 
Back
Top Bottom