Wapi nitaprint logo yangu katika mifuko ya sulfate kwa ajili ya unga wa sembe kwa Dodoma

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga..

Logo ninayo tayari

Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25
Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi

Mnatumia tecnolojia ipi
Kuprint au muhuri??
Nipen gharama za kila teknolojia
 
Yani leo leo nimeona tangazo kama hili tweeter la watu wanaoprint. Ngoja ni retrieve nikuletee
 
Naomba msaada mtu anakuja na habari za marasi sijui
 
Mkuu nakushauri nenda katangaze kwenye magroup ya biashara like Facebook utapata msaada wa haraka
 
Habari. Mimi ni label na logo design. Natumia fursa hii kukusaidia.
Maadamu tayari umepata logo hatua yenye umuhimu mkubwa zaidi ni kuchonga rubber. Kwa hapa Dom sidhani kama kuna wataalamu wa kuchonga rubber. .. ni hakuna. Printers uwa wanategemea kuchonga rubber Dar then unakuja na rubber yk unampatia printer then anakuchapishia ktk suflet. Au unaweza kuprint hukohuko Dar.
Kuna jamaa wako vizuri in shaa Allah nitawapa no yako wakucheki. Kama hautajali unaweza kunitumia no yk. No yangu ni 0688999006

Logoriddim
 
Poa poa..nakupm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…