Wapi nitasoma "Quick Books, Tally and Advance Excel" kwa Bei nafuu?

Meneja CoLtd

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
122
Reaction score
143
Habari wakuu,
Baada ya miaka kadhaa tangia nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya maswala ya uchumi na fedha nilikua naomba anayefahamu sehemu yoyote Kwa hapa Dar ambapo naweza kwenda kusomea
Advance Excel
Quick books
Tally Kwa Bei nafuu anaelekeze.
 
Comskills, makumbusho business complex 2nd floor room no 1
 
Cheti utapeleka wapi sasa?
Sometimes watu hawaitwi kwenye usali kwasababu ya kukosa uthibitisho wa vitu walivyovijaza kwenye CV.
Applications za Kaz zinakuaga nyingi so lzm uwek n vyet vy kukutofautish na wenzako ili kujipa chance ya kuitwa kwenye interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…