Sangoma
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 344
- 165
Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu za Kichina maana naona wasambazaji naochukua kwao hapa nchini awaishiwi visababu na kupandisha bei kila kukicha kwa visingizio vya corona kodi nk.
Niwapi naweza nunua hizi bidhaa kwenye masoko yapi kwa bei ya jumla ili niweze kuendana na soko na kuuza kwa faida naamini kila biashara ina faida japo japo wao ujilalamisha nakujifanya awapati kitu ila awataki kuacha hizo biashara mwenye kujua ni wapi naweza pata naomba connection.