M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Oct 3, 2022 #1 Habari zenu wakuu. Wapi naweza pata original heating element ya solar heater? Nilizo nunua mara mbili naona zinalipuka tu. Nataka kitu orijino kabisa.
Habari zenu wakuu. Wapi naweza pata original heating element ya solar heater? Nilizo nunua mara mbili naona zinalipuka tu. Nataka kitu orijino kabisa.