Wapi Nora na Sinta?

Wapi Nora na Sinta?

handeni

Member
Joined
May 17, 2011
Posts
22
Reaction score
3
KAMA MTAKUMBUKA MIAKA YA 2000 KUNA HAWA MABINTI WAWILI WAIGIZAJI KWENYE KUNDI LA SANAA LA KAOLE ENZI HIZO WAKIUZA SURA ITV JE WAKO WAPI HAWA DU! WALIUZA SANA MAGAZETI YA AKINA SHIGONGO A.K.A UDAKU.:embarassed2:
 
Hata mimi nimewamiss sana hawa wasanii sijui wamepotelea wapi
 
Nora kapigwa ndoa
ambayo juz kati
nlskia haitak
eti inambana!!
Sinta namuona$kwenye
magazeti ya udaku
mara sjui kawapeleka
wenzie kituon
mara sijui nini?
Wapo
 
i thnk my first love was nora kpindi hcho itv...dah!!
 
Wamefulia tu hawana lolote unachezea usupastaa wa bongoland ambao hauna mbel wala nyuma wala pesa achilia mbali mali? Wanaonufaika ni akina shigongo kwa kuwaandika na kuuza magazeti c wasanii
 
Back
Top Bottom