wapi ntaapply bachelor of science in chemistry?

kelvin Brown

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
7
Reaction score
0
naomba ufafanuzi kuhusu application na soko la ajila kwa ujumla kwa mtu anayechukua bachelor of science in chemistry.
 
naomba ufafanuzi kuhusu application na soko la ajila kwa ujumla kwa mtu anayechukua bachelor of science in chemistry.

Unaweza kufanya kazi viwandani,mashirika ya viwango km tbs,na sehem nyingine ambako chemistry inakuwa applied
 
Kama alivyosema jamaa unawezapata chemical laboratories.chemical companies.au kavipi pasua sana kwenye degree yako uwe lecturer
 
Yah wakuu vp na hii barchelor of science in physics naomba mnijuze kama inalipa au ina soko la ajira au ndo kuishia ualimu tu.
 
naomba ufafanuzi kuhusu application na soko la ajila kwa ujumla kwa mtu anayechukua bachelor of science in chemistry.

wasikutishe hao mwana ka hutaki uticha,,,coz kama ingekuwa ni issue ya Ualimu ungekuwa Education Science in Chem......uko chuo gani bra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…