Ili kuhakikisha zinapatikana za kutosha, hivyo uzinduzi ulikuwa ni wa kuzitoshesha tuu just incase hazitotosha!, lakini thanks God, uzinduzi ule umesaidia, maana hatimaye zimetosha!.Kiwanda bado sanaaa zile zilikuwa siasa tu.
Mmmmmh hiyo ID yako sidhani kama inaendana na cement ya dangote.........anyway unahitaji pc ngapi
sh 8,000??? serikali haitaruhusu hii kitu ili kuvilinda viwanda vya tanga cement na wazo ambapo ina vijihisa vya mbogaWadau kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo, kikubwa nimevutiwa na bei ninayoisikia juu juu ya 8,000/= sasa najaribu kupata details za wapi ntaipa hiyo cement kwa hapa Dar-es-Salaam maaana ukiingia site unapata contact za Nigeria tu afu ukipiga full mizunguo, kama ile ya mtwara imeshaingia sokoni
Nimesikia imefika Tabora na ni 8000.