DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,602
- 6,181
ukienda wee kaa tu sehemu agza zako ulabu kwenye meza yoyote ukimkuta mtu ukivutiwa naye usiogope kuanzisha mazungumzio. Vaa vizuri nukia fresh ila uwe na mtaj wa kuanzia mzee wangu. ukiona huko mbali nenda karambeziSi uni dalalie mmoko ki aina mkuu wa mkoa. Ila ntatimba pale, kwani nahitaji macho ya rohoni? Au ntakuta tu ma white dent
Dah! Masharti magumu sanaUkikosa ukataka Limjomba la kizungu la kukuoa nijulishe.
Ka mtaji ka wese la shi ngapi ivi!ukienda wee kaa tu sehemu agza zako ulabu kwenye meza yoyote ukimkuta mtu ukivutiwa naye usiogope kuanzisha mazungumzio. Vaa vizuri nukia fresh ila uwe na mtaj wa kuanzia mzee wangu. ukiona huko mbali nenda karambezi
Si unajua bei za hayo maeneo. Sasa utaanzisha Mazungumzo na mmtu inabidi pia angalu ujikakamue siku ya kwanza kama anakula kinywaji umuagizie na pale hakuna Visungura wala hakuna Kitimoto cha mapande. Hata ukikuta wako wawili mezani usiogope kuanzisha amzungumzo ila usiende huko kama mfuko unasumbua utaaibika na utaonekana kibakaKa mtaji ka wese la shi ngapi ivi!
Umetisha mkuu, kwa hiyo nikijikakamua na li fifte ivi. Kidogo si inaeleweka?Si unajua bei za hayo maeneo. Sasa utaanzisha Mazungumzo na mmtu inabidi pia angalu ujikakamue siku ya kwanza kama anakula kinywaji umuagizie na pale hakuna Visungura wala hakuna Kitimoto cha mapande. Hata ukikuta wako wawili mezani usiogope kuanzisha amzungumzo ila usiende huko kama mfuko unasumbua utaaibika na utaonekana kibaka
Hayo ni maoni yako ambayo pia hatuwezi kuyakataa...ila siamini kwa kweli.Naamini mwanaume kijana anaeamua kutoka kimapenzi na mshangazi, ili apewe hela na huyo mshangazi, yupo only one step away from kuwa shoga (bottom).
fifte utakula tu mishikaki na juiceUmetisha mkuu, kwa hiyo nikijikakamua na li fifte ivi. Kidogo si inaeleweka?
Dah! Ntapata wapi hela ya kutafta hela. Mbona noma kinoma nomafifte utakula tu mishikaki na juice