Wapi Ntapata supu ya kenge hapa Dar?

Mwana Ukoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
252
Reaction score
422
Wakuu nina shida sana na hii supu Kwani muda kweli sijaitumia nilisikia samaki samaki wanauza local food ila bado nilikosa mwenye kujua anielekeze wapi ntapata supu ya kenge au mamba kwa hapa Dar?
 
waganga hawa ? mimi niliambiwa nipeleke mayai ya kuku mjane yaani kuku ambae mayai yake ni ya jogoo aliekufa!
 
Reactions: MC7
Supu ya kenge au mamba..!!
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nenda chines hotel kuna moja ipo mikocheni sikumbuki jina ulizia ila ni bei saani si chini ya laki Mbili kama hawana weka oda watakupa
 
Sijawahi kunywa supu ya kenge, ladha yake ipo vipi mkuu. Supu ya mbwa nimeshakunywa sana
 
Chines restaurant yeyote utapata kama hawana watakuelekezza
 
Wakuu nina shida sana na hii supu Kwani muda kweli sijaitumia nilisikia samaki samaki wanauza local food ila bado nilikosa mwenye kujua anielekeze wapi ntapata supu ya kenge au mamba kwa hapa Dar?

Jaribu Kimara baruti pale ukifika ulizia kwa Tarimo hapo utapata Supu ya Kenge ya moto moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…