Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa Dar es Salaam?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Leo mechi ni nyingi. Za majuu uefa champions league na Africa champions league.

Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa DAR? Bar au pub au kibanda umiza?
Asante.
 
Una macho mangapi? Hata vibanda umiza nyingi tu wana tv nne shida ni kwamba katika katika mechi za CAFCL wanaweza kuweka mechi usiyopenda maana jumla kuna mechi 5 leo za klabu bingwa Ulaya na Africa.
 
Game zenyewe zinaanza saa ngap, hizi za CAF
 
Leo mechi ni nyingi. Za majuu uefa champions league na Africa champions league.

Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa DAR? Bar au pub au kibanda umiza?
Asante.
kwa Tandale fika maeneo ya uwanja wa fisi pale utaangalia game zote
 
CAF wanazingua kuziweka mechi hizi zote za robo fainali ya CAFCL na CAFCC kwa wakati mmoja. Sijaelewa sababu ya kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…