Wapi panafaa kwa mapumziko kati ya Cape Town au Johannesburg?

Wakuu baada ya kutoka Dubai mwezi wa 6 Sasa nataka Kwa mara nyingine nikatulize akili South Africa kama wiki 2 hivi wapi panafaa Kwa mapumziko katika hiyo miji miwili niliyoitaja? Johannesburg au Cape Town?
Nenda Uswiss,kuliko kuwa na fursa zote za utaliina safe heaven kwa wanaokula kwa urefu wa kamba🤗
 
Huko kote sijafika ila kwa kutumia navigation na maelezo ya wanetu waliowahi kufika pande hizo nakushauri uingie Capetown
 
Wakuu baada ya kutoka Dubai mwezi wa 6 Sasa nataka Kwa mara nyingine nikatulize akili South Africa kama wiki 2 hivi wapi panafaa Kwa mapumziko katika hiyo miji miwili niliyoitaja? Johannesburg au Cape Town?

Yani baridi iliyopo Johanesburg kwa Sasa ni kali kupita zote unazojua za bongo.
Kuzidi iliyopo Lushoto kwa sasa kama umeshahi kuwa Lushoto majira haya husuda mwezi Juni to August.
 
Mkuu shukrani kwa ushauri. Nimechagua CPT
 
Back
Top Bottom