Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

Wapi pazuri kuishi baada ya kustaafu?

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.

Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
 
Kwa uzoefu wangu ninavyoona wastaafu wengi, sehemu utakayoishi baada ya kustaafu lazima uiandae at least 10 - 15 yrs kabla hujastaafu. Ukitaka upigike staafu halafu ghafla ndiyo uende sehemu mpya ambayo huijui vizuri. Jenga mapema sehemu yako ya kustaafu, tafuta mashamba jirani na hapo au buni biashara yako maeneo hayo, na uwe mazoea napo.
 
Kuishi karibu na ukoo wenu ni jambo la msingi sana na la kheri hasa kipindi ambacho huna mishe za kufanya kuna muda itakuhitaji kupata msaada wao wa karibu hata Kama sio wa kifedha.
 
Kuna uzi humu mzuri sana unaseminisha maisha hayo ila sijui title yake
 
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.

Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Kustaafu siyo kufukuzwa, hivyo pa kuishi baada ya kustaafu panatakiwa kuandaliwa mapema.

Na hakuna formula kwamba wapi panafaa, kijijini ama mjini, isipokuwa ni mahali ulipojiandalia wewe mwenyewe, kiuwekezaji na kisaikolojia.

Mahali pa kuambiwa na mtu kwamba mahali fulani ni pazuri kutokana aidha na hali ya hewa ama mazingira flani ya kupendeza anavyo paona yeye bila wewe kuwa na uzoefu ama mazoea napo ni kiama.

Angalia comment # 2 katoa fact za kushiba.
 
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.

Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.

Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Mbinguni madukani
 
Kwa uzoefu wangu ninavyoona wastaafu wengi, sehemu utakayoishi baada ya kustaafu lazima uiandae at least 10 - 15 yrs kabla hujastaafu. Ukitaka upigike staafu halafu ghafla ndiyo uende sehemu mpya ambayo huijui vizuri. Jenga mapema sehemu yako ya kustaafu, tafuta mashamba jirani na hapo au buni biashara yako maeneo hayo, na uwe mazoea napo.
Maandalizi ya kustaafu huanza mara tu baada ya kuajiriwa
 
Kwa uzoefu wangu ninavyoona wastaafu wengi, sehemu utakayoishi baada ya kustaafu lazima uiandae at least 10 - 15 yrs kabla hujastaafu. Ukitaka upigike staafu halafu ghafla ndiyo uende sehemu mpya ambayo huijui vizuri. Jenga mapema sehemu yako ya kustaafu, tafuta mashamba jirani na hapo au buni biashara yako maeneo hayo, na uwe mazoea napo.
🙏🙏
 
Ungeandaa kabla ya kutoka ofisini. Maisha ya kustaafu ni very enjoyable yana raha yake

Hapa nilipo niliishi miaka 4 kabla ya kutoka ofisini.
 
Kuishi karibu na ukoo wenu ni jambo la msingi sana na la kheri hasa kipindi ambacho huna mishe za kufanya kuna muda itakuhitaji kupata msaada wao wa karibu hata Kama sio wa kifedha.
Kwa familia zetu hivi hizo hela zotezitaishia kulea ukoo mana kila jambo watakuangalia wewe si wanajua hela ipo.
Watamkamua mpaka tone la mwisho.
Yeye kama alijiwekezea akae zake huku huku mjini alipopazoea andelee na mishemishe zake kama hakuna alichowekeza kumfanya abaki mjini hapo ndio shughuli.
 
Mimi huwa napata shida sana nikimuona mstaafu anahaingaka.Hivi tutaombwa ushauri mpaka lini??
Mama kijacho tumpe ushauri juu ya ajaye,ajaye akifika bado tumshauri jinsi ya kumtunza,akianza shule tumshauri akimaliza shule tumshaur,akienda chuo tumshauri akianza kazi,akiwa kazini na je,akistaafu?
Sawa ni vizuri kuomba ushauri ila sasa kwa wastaafu mjiangalie,sisi watoa ushauri tumekaa kikao tukakubaliana kuwa 'Wastaafu wasituchoshe,tupo bize na hawa wengine'
 
Mpe hongera zake na kama anategemea kwenda vijijini kama hakuongeza mke wapili ujanani, asijichanganye kuoa mke mwingine maana atafilisikaaaa.
 
Akaishi kule alipoandaa kwa ajili ya kustaafia.Nikiwa na maana alipojenga na kujiwekezea kwa ajili ya kustaafu.
 
Back
Top Bottom