Kuishi karibu na ukoo wenu ni jambo la msingi sana na la kheri hasa kipindi ambacho huna mishe za kufanya kuna muda itakuhitaji kupata msaada wao wa karibu hata Kama sio wa kifedha.Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.
Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Kustaafu siyo kufukuzwa, hivyo pa kuishi baada ya kustaafu panatakiwa kuandaliwa mapema.Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.
Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Wakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.
Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Mbinguni madukaniWakuu kuna jamaa yangu anaelekea kustaafu kanitaka ushauri kuhusu sehem sahihi ya kuishi baada ya kustaafu kazi kati ya mjini na kijijini aende wapi akamalizie maisha yake ya ustaafu.
Yeye alikulia bushi ila baadae alienda kufanya maisha town kwa kitambo kirefu sana na saivi anaelekea kustaafu.
Maandalizi ya kustaafu huanza mara tu baada ya kuajiriwaKwa uzoefu wangu ninavyoona wastaafu wengi, sehemu utakayoishi baada ya kustaafu lazima uiandae at least 10 - 15 yrs kabla hujastaafu. Ukitaka upigike staafu halafu ghafla ndiyo uende sehemu mpya ambayo huijui vizuri. Jenga mapema sehemu yako ya kustaafu, tafuta mashamba jirani na hapo au buni biashara yako maeneo hayo, na uwe mazoea napo.
Naskia maza kasema yeye atakua muscat Oman?Magufuli alisema ni karagwe
🙏🙏Kwa uzoefu wangu ninavyoona wastaafu wengi, sehemu utakayoishi baada ya kustaafu lazima uiandae at least 10 - 15 yrs kabla hujastaafu. Ukitaka upigike staafu halafu ghafla ndiyo uende sehemu mpya ambayo huijui vizuri. Jenga mapema sehemu yako ya kustaafu, tafuta mashamba jirani na hapo au buni biashara yako maeneo hayo, na uwe mazoea napo.
Kwa familia zetu hivi hizo hela zotezitaishia kulea ukoo mana kila jambo watakuangalia wewe si wanajua hela ipo.Kuishi karibu na ukoo wenu ni jambo la msingi sana na la kheri hasa kipindi ambacho huna mishe za kufanya kuna muda itakuhitaji kupata msaada wao wa karibu hata Kama sio wa kifedha.