Wapi pazuri kwa ajili ya Date Night kwa hapa Mwanza..(Outdoor)

Wapi pazuri kwa ajili ya Date Night kwa hapa Mwanza..(Outdoor)

Ungetuma picha yake kwanza mkuu ili tumuone tukupe recommendation nzuri

Sasa hvi hvi bila picha hatutajua hiyo njemba iko kiadvataizi ipi

Njemba inavaa tisheti ya marangi rangi kuubwa na kataiti keusi ina sehemu yake

Njemba ya magauni na moschino ina sehemu yake

Njemba inavaa jeans na koti la suti ina sehemu yake

😁😁 all in all picha muhimu
 
Jf wapuuzi wamekuwa wengi sana.Kutoa a simple recommendation tu watu wanatoa matusi.
 
Kama huyo manzi anajitambua, mpeleke sehemu wanakouza supu ya pweza, vichwa vya kuku, utumbo na miguu yake yani maeneo ya namna hiyo huwa hawazingui kama kweli anakupenda, usijaribu kujipandisha kuzidi uwezo wako
 
Go F yourself
 
Back
Top Bottom