Nini kimelisibu gazeti la RAIA MWEMA leo maana haliko mtandaoni hadi muda huu!Au nao wamemwagiwa tindikali,maana yaelekea mafisadi wamepania kweli kuzdhibiti yeyote anayewanyooshea kidole.Je huko nyumbani gazeti liko mtaani?Au linasubiri "major announcement"?