Wapi sehemu za starehe Arusha?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
Wakuu nimetembelea Arusha nimetokea Nairobi nitakuwa hapa kwa siku tatu hivyo nahitaji kukuzwa viwanja vya ukweli kwenye madada poa wazuri ili hata kama natoa hela yangu nitoe kiroho safi.

Nimefika maeneo haya kuna pub inaitwa Shivers karibu na stand ya mabus ya Kilimanjaro na Dar express.
 

Unataka dada poa wazuri?andaa $200 pale novotel wapo.
 
Hela unayo lakini nakuja na campany yangu ya washkaji kama 6 hivi nikupeleke viwanja vya ukweli.
 
Nenda arusha by night aka matako baa utawapata wa kutosha kama hutotosheka na mmoja ,
 
Vipi primear casino, babylon na club d moshono.. Ila kama upo hapo picnic mida ya saa tano nenda matako bar
 
Ha ha.......aje Dolly's huku........tumemaliza kucheza golf sasa tunakunywa mvinyo...........
Mzima lakini wewe.....,,...?......long tym........
Mimi mzima za huko huyo hapo mpelekeni viwanja falcon mombasa

Arusha Night Park.........by night saa hizi ni hospital...........
Atakuwa ajafika mda mrefu ya elekea!
 
Last edited by a moderator:
Preta nashkuru kwa ushauri wako wacha niiende club d kesho nazama matako bar
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…