Joseph Kasa-Vubu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 356
- 550
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ. Kwa wana Mwanza ni kiwanja gani kinachobamba kwa sasa?