Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
Hata tendo la ndoa anza kumpa yeye
Ahsante
Malengo ya hii post na matarajio si mazuri jamaa anatafuta support ili afanye ushenzi fulani!!!!!!!!!!!!!!! Mhs mkeo ndiye mwalimu wa house girl wako, bila yeye hakuna zuri litafanyika unless na house girl ana malengo yake pia!!!!!!!!!!!!!!!Huo mtazamo sio mzuri kabisa... For iko too Conclusive... Msichana wa kazi anapokuwepo nyumbani ni kweli aweza fanya kazi zoote But anaemsimamia huyo binti ni Mkeo. Yeye ndo atamfundisha kupika vizuri, jinsi ya kufua na kunyosha na shughuli nyingi hapo ndani... Mke anawajibu mkubwa saana kwa mumewe BUT kumbuka kua sio mtumwa wako, na mara nyingi akina dada/mama wengi wamekua wakiishughulisha hivo inakua ngumu kufanya hayo majukumu mwenyewe... Hivo basi kupost ulopost unamvunjia heshima Mkeo na ni dalili ya kusema wataka kulala na House girl... Unless otherwise Mkeo ndo mmoja ya wale watu wavivu wakutupwa ....
Huo mtazamo sio mzuri kabisa... For iko too Conclusive... Msichana wa kazi anapokuwepo nyumbani ni kweli aweza fanya kazi zoote But anaemsimamia huyo binti ni Mkeo. Yeye ndo atamfundisha kupika vizuri, jinsi ya kufua na kunyosha na shughuli nyingi hapo ndani... Mke anawajibu mkubwa saana kwa mumewe BUT kumbuka kua sio mtumwa wako, na mara nyingi akina dada/mama wengi wamekua wakiishughulisha hivo inakua ngumu kufanya hayo majukumu mwenyewe... Hivo basi kupost ulopost unamvunjia heshima Mkeo na ni dalili ya kusema wataka kulala na House girl... Unless otherwise Mkeo ndo mmoja ya wale watu wavivu wakutupwa ....
Mpe tu huyo housegal wako mana umemsifia sana lol.....
Mnakuwa wagumu sana kuelewa hili somo,...yaaani kila kitu afanye housegirl halafu bado mnajifanya nyie ndio muhimu sana kiasi kwamba mkitoka kutaonekana ombwe,...anyway mimi somo nililojifunza ni kwamba tukoelekea mahausigel wengi watawachukulia wanaume wenu kwa mtindo huuUshauri wa bure: mkeo mtengenezee mazingira ya kuwa mbali na nyumbani kama miezi 3 hivi. Ubaki na wanao na hgeli. Afu uone kama utathubutu kumtamani huyo hgeli. Ndio utagundua hata ambavyo mkeo unamuona mkali na msemaji sana ana umuhimu wake! Mtalishwa hadi inzi!
Well said mkuu,......hapo h/girl ni wa kupongezwa hata kama watarusha mawe kwa hasira.Penye ukweli tusilete unafiki, chukua hatua tafadhali. Tunajua nanyi mna kazi, lakini angalau siku moja moja unaonyesha kuwa hujasahau. Uasili usife. Hiki nilichokiandika nimekiona hata kwa watu wengine, hakitokea kwa mtu mmoja tu kama mimi.