Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
- Thread starter
-
- #21
Well said mkuu,......hapo h/girl ni wa kupongezwa hata kama watarusha mawe kwa hasira.
Mnakuwa wagumu sana kuelewa hili somo,...yaaani kila kitu afanye housegirl halafu bado mnajifanya nyie ndio muhimu sana kiasi kwamba mkitoka kutaonekana ombwe,...anyway mimi somo nililojifunza ni kwamba tukoelekea mahausigel wengi watawachukulia wanaume wenu kwa mtindo huu
muongezee mshahara. unadhani anafanya hivo out of love?
Hapo kwenye red; hapana sio hivyo ndugu
Kumbe wataka kusema nini?? Una hatari weye!!! Hivi unadhani mkeo angekuwa anakupa mastress, ungenawiri?? Si ungeshazeeka kwa kukunja ndita? Wanichekesha!
Lakini mnakuwa wakali tukitaka kuwasaidia house girl kazi, nyie hamtaki kuwasaidia, sisi men tukiona huruma ya majukumu waliyonayo hg na kuamua kuwasaidia hata kuandaa/kuleta chakula mezani mnachukia ile mbaya.
House girl ndie anaepika chakula changu, ndie anafua nguo zangu na kupasi, kwa kifupi anafanya karibu kila kitu hata iwe weekend(isipokuwa tendo la ndoa). Watu huku nje wananipongeza kuwa baada ya kuoa napendeza/mtanashati na ninanawili(ila hali inakoenda inabidi nifanye mazoezi). Sasa jamani hongera za haya mabadiliko mazuri nimshukuru nani kati ya mke na house girl (hata kama nitashukuru kimoyomoyo vile)
ushauri mzuri sana shemUshauri wa bure: mkeo mtengenezee mazingira ya kuwa mbali na nyumbani kama miezi 3 hivi. Ubaki na wanao na hgeli. Afu uone kama utathubutu kumtamani huyo hgeli. Ndio utagundua hata ambavyo mkeo unamuona mkali na msemaji sana ana umuhimu wake! Mtalishwa hadi inzi!
Mshauri Mkeo kuwa ndie anaetakiwa kukufulia na kukupikia... Si beki 3! Siku za usoni atambiwa akuandalie maji bafuni na hatimae ataambiwa na mkeo atandike kitanda! Kitakachoendelea hapo sina uhakika sana...