ofisi zao ziko karibu na kiwanda cha cocacola mikocheni.
barabara iendayo cocacola kutokea mwenge, kabla hujafika kiwandani, unaifata ile barabara inayokenda mikocheni B, upande wa kushoto kuna mnara wa Tigo,geti le pili. kuna barabara inayoongoza getini, sina uhakika kama kuna bango, ila ofisi ziko hapo.binafsi nilishafika hapo.