Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
heshima kwenu wadau
sisi ni vijana tulioamua kujikwamua na tatizo la ajira kwa kubuni kipindi kizuri cha kuoneshwa katika tv.kipindi hiki kinahusu kurekebisha mienendo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla,kukemea mabaya na kusifia mazuri ya wanajamii katika mfumo wa kuelimishana na kwa namna ya kuchekesha(japo siyo totaly a comedy) na kwa maneno yasiyo kera wala kuvuka mipaka ya kimaadili.kukumbusha mamlaka zinazohusika ziwajibike katika kuihudumia jamii katika masuala ya huduma za jamii kama maji safi na taka,umeme, usafi n wa mazingira na kadhalika.tumeshasajili hicho kipindi na tayari tuna demonstration ya hicho kipindi(DEMO),concept note tayari tunayo na mtu wa kutuandikia poroposal tayari tunae.tatizo letu ni namna ya kumpata mdhamini atakaetuwezesha kutengeneza vipindi vya miezi 6 na kuvirusha kwenye tv channel.tuna imani project hii baada ya kuoneshwa itapata wadhamini wengi na hivyo kuleta kipato kwa sisi na mdau atakaetuwezesha kumpata mdhamini.kwa mawasiliano tutafte kwa email hii hsudi2012@yahoo.com au simu 0717478451 na 0713986635 .asanteni