Tatizo nipo nyumba ya kupanga, nyumba kubwa kuna vyumba nane, mabdanda ya uani saba, sasa pata picha idadi ya watu tunaoishi humo, si bora ukimbie mbali na nyumbaniTulia nyumbani, epuka misongamano.
Duh pole sana mkuu, ila hata ukiweza kutoka je utaweza kukaa mbali zaidi ya miezi miwili mitatu?Tatizo nipo nyumba ya kupanga, nyumba kubwa kuna vyumba nane, mabdanda ya uani saba, sasa pata picha idadi ya watu tunaoishi humo, si bora ukimbie mbali na nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema kweli miezi miwili ni mingi, ila kama huduma zote muhimu zinapatikana naweza kuvumiliaDuh pole sana mkuu, ila hata ukiweza kutoka je utaweza kukaa mbali zaidi ya miezi miwili mitatu?
Vipi kuhusu kazi kama umeajiriwa? mi naona bosi bora ukomae hapo hapo hizo hela ukafanyia mambo mengine.Kusema kweli miezi miwili ni mingi, ila kama huduma zote muhimu zinapatikana naweza kuvumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, lakini vipi kama nyie wa Dar mkaupeleka huko shamba, mi niko shamba na huku pia kuna tetesi tetesi kuna mjinga mmoja katoroka karantini (sio yule wa Iringa) wamemkamata baada ya siku kadhaa, kwa hiyo kila mtu atulie tu kwake ili tuzuie kuusambaza zaidi.Umesikia watu wa Dar wameanza kukimbilia shamba? bora tukajichimbie huko, kazi tutaangalia hali itakapokua shwari.
Sawa, lakini vipi kama nyie wa Dar mkaupeleka huko shamba, mi niko shamba na huku pia kuna tetesi tetesi kuna mjinga mmoja katoroka karantini (sio yule wa Iringa) wamemkamata baada ya siku kadhaa, kwa hiyo kila mtu atulie tu kwake ili tuzuie kuusambaza zaidi.