Wapi Ubongo interchange, Tahara flyover(pole tazara)...Tz never takes projects seriously

Wanajifanya wanauchumi imara lakini ukienda katika maisha ya kawaida ni ghali sana Nairobi kupata kuku au Samaki inabidi uwe pesa mingi zaidi utaishia kula sukumawiki na Chinese
 
Alafu Utaskia "Hii Bongo sio ya kitambo.. Mara Ohh Bus station Modern in East Africa"Porojo Tupu! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo jeshi lenu limewashindwa wasomali amabo wako disorganized ndo mnatamba kutuweza sisi kamuulize Kagame na M23 yake waliishia wapi, Jeshi lenu halijawahi hata kupigana vita na nchi ambazo ziko na utawala serious hapo hamna kitu mnakonbati tu

Hehehe wale watoto (child soldiers) wa M23 ndio mnajitambia hapa, siku mkikumbana na mziki wa mashababi bin shetwan mtaikimbia nchi nyote, wale huja kama wameamua kufa, na hujilipua hata kabla hawajaanza vita, ni mazombi yanayotokea nchi zote, yamesumbua dunia yote hata kule Mrusi na Marekani wamepigana na ndugu zao ISIS lakini vita haviishi licha ya kutumia dhana za kisasa, sasa nyie milegezo na wapenda mdebwedo mjaribu kuwabeep muone mkiikimbia nchi.
 
Tunajenga viwanda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unazani ni Alshabab hao kamuulize mtatu mtakatifu mwenzenu ndugu Paul aliishia wapi na kundi lake, Tz imepigana kuzisaidia nchi hizo za kusini mwa Afrika zijitawale we used our resources Leo ndo Rais wenu anakimbilia kuweka mahusiano, ingekuwa Tz haikupigana vita katika tangu ipate Uhuru GDP yetu ingekuwa ni zaidi hata ya SA au Nigeria
 
Kenya kanchi kadogo sana ukiangalia eneo lenu ni hata nusu ya Tz hamfikii ujue hapo tukijenga miundombinu ya Barbara na Reli ni marambili ya nyie mnayojenga
Kwanini mko LDC Bado and Yet you have Every thing.. Infact TZ is Bigger than Israel but Huwezi linganisha... One country is full of thinkers yet Another(Tz) a Big Conservation of STUPIDITY!!
 
Are you on drugs? Why are you keeping post the same shit all the threads filled up with your junky mindset
 
Kwanini mko LDC Bado and Yet you have Every thing.. Infact TZ is Bigger than Israel but Huwezi linganisha... One country is full of thinkers yet Another(Tz) a Big Conservation of STUPIDITY!!
Maneno mengi nenda kale Chinese hamna jipya nyie propaganda za kimagharibi zitawamaliza
 
A fools thinking
 
Hata kama Kenya size ya mkoa wenu, bado tunawazidi kwa kila kitu, elimu, kijeshi, miundo mbinu, kiuchumi yaani kila kitu. Nyie wazee wa 'tukijenga'.....tuki tuki tuki tuta...
Tuta.. Tuli.,.. Ita.. Tuta.. Modern... Azam... Kariokor [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Did you ask about tazara flyover.?
 
Hilo jeshi lenu limewashindwa wasomali amabo wako disorganized ndo mnatamba kutuweza sisi kamuulize Kagame na M23 yake waliishia wapi, Jeshi lenu halijawahi hata kupigana vita na nchi ambazo ziko na utawala serious hapo hamna kitu mnakonbati tu
Kama Nyinyi ni wanaume Kamili Fikeni kwa Battle Field in open air tuone unoma yenyu.. Acha stori za Karne za ujinga mnapigana wa WEZI wa Miwa na Booshmen alafu mnajiita Comandos[emoji13] [emoji13] [emoji23] Fikeni SOMALIA Kama nyinyi ni wanaume Kamili BASI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…