Wapi Ubongo interchange, Tahara flyover(pole tazara)...Tz never takes projects seriously



Mnaonekana Wakenya ni jinsi gani mlivo na ROHO mbaya...safari hii mtakunywa hadi sumu. Hii ni Tanzania mpya
 
Kwa midomo na umama wako.
 
1.5 trillion ni pesa mingi sana
 
Kunywa champagne kwa bill yangu. I wish ningekua na marafiki reasonable kama wewe
 
t
Kenya kanchi kadogo sana ukiangalia eneo lenu ni hata nusu ya Tz hamfikii ujue hapo tukijenga miundombinu ya Barbara na Reli ni marambili ya nyie mnayojenga
ena tulikaongezea kwa kuwapa mji wa mombasa na bandari yake vinginevyo tungewakimbiza zaidi.
 
Kuna vitu hata huitaji kujibizana na wakenya , yaani Jwtz ulinganishe Kdf

Hata wafu wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…