Wapi Ubongo interchange, Tahara flyover(pole tazara)...Tz never takes projects seriously

The only thing I can give him credit for is trying to clean up the system.... But that hasnt resulted in any growth more than during Kikwete .. infact growth rate imeshuka chini.... Wanadhani kublock Kenyan access to Tanzania ndo kushinda kiuchumi....
 
hizo 600 mlishazifanyia nini na kwa muda gani mlifanya mpaka mkamaliza
 
Kaka usijaribu kulazimisha mahesabu, uchumi wa Tanzania unaendelea kukua kwa kasi sana kuliko Kikwete, mwaka jana ni 7.1% mwaka huu tunategemea 7.2% na 2019 tutagonga 7.4%. Muhimu zaidi ni kwamba kinachopatikana kinatumika vizuri sana, enzi za Kikwete pesa nyingi ilipotea hovyo, serikali ilikua na matumizi ya hovyo sana kama ilivyo sasa hivi huko Kenya, ni jambo la kushangaza serikali ya Kenya kutumia pesa nyingi kuwapeleka wabunge kwenda Russia kuangalia mechi za World Cup na wananchi hawapingi kwa maandamano badala yake wanaandamana kwa ajili ya Bobi Wine, this can only happen in Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Only your fellow fools will join you
Eti uchumi haukui?
Kikwete has been collected 800b/month
JPM collects 1.3 Trillion per month

Tanzania is leading African economy growing fast ⏩ and top 5⃣ in the world 🗺 during this time of JPM.
 
Tuko August so tutarajie tuna tuta- zindua?


Much-awaited TAZARA flyover enters its trial phase next month
ippmedia.com/en/news/much-awaited-tazara-flyover-enters-its-trial-phase-next-month


August 17, 2018
17Aug 2018
The Guardian Reporter
News
The Guardian
Much-awaited TAZARA flyover enters its trial phase next month
TRIAL runs on the almost-completed Tazara flyover in Dar es Salaam are set to begin next month before it is fully opened for traffic in October, it has been established.



The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) manager for Dar es Salaam Region, Julius Ndyamukama, told The Guardian in an interview on Wednesday that engineers are currently applying final touches to the landmark road infrastructure.
According to Ndyamukama, the major construction work is basically finished and well on time, with the formal project completion and handover scheduled for the end of October.
“All that remains are minor works such as installation of traffic lights,” the TANROADS official explained.
He commended the engineers for “a job well done” so far, but stressed that professional engineering tenets require that a trial phase for such big projects be held before formal opening for public use.
Briefing members of the Engineers Registration Board (ERB) who visited the project early this year, the project’s works execution managing engineer Kiyokazu Tsuji said there will still be a need for more flyovers in other busy road intersections within the city in order to properly control Dar es Salaam’s notorious traffic congestions.
According to Tsuji, although the Tazara flyover will allow people rushing to places like the airport to cross that particular intersection quickly, commuters heading in other directions with equally busy intersections such as Changombe, Kamata, Uhasibu, Mwenge, Morocco, Magomeni, and Tabata will still face traffic snarl-ups.
The Tazara flyover project at the junction of the Nelson Mandela Expressway and Nyerere Road has been funded by the Japan International Cooperation Agency (JICA), and will cost a total of $45 million upon completion.
According to TANROADS, the four-lane carriageways will reduce up to 80 per cent of the time spent to travel to the airport from the city centre.
Top Stories
 
Inafanana hivi ama ni kitu aesthetically ipo chini?
 

Cleaning system can't be done by a one man show, you need to empower constitutional institutions and allow them to do their jobs. Just like Uhuru did recently with the new DPP guy, give them political goodwill and empowerment then seat back and offer all possible support.
But if you make it all about you, definitely you will fail spectacularly. Take a moment and read stuffs happening in Tz, you will realize they are always on some endless cycle, as if running round a baobab tree.
 
Flyover ya Tazara kuzinduliwa Oktoba




Kwa ufupi
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 98



By Ibrahim Yamola, Mwananchi iyamola@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ujenzi wa barabara ya juu katika makutano ya Barabara ya Mandela na Nyerere (Tazara) umekamilika kwa asilimia 98.
Amesema wakati wowote kuanzia Oktoba, 2018, Rais John Magufuli atazindua barabara hiyo.
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo Jumatano Agosti 29, 2018 mara baada ya kutembelea eneo hilo pamoja na Ubungo ambako itajengwa barabara ya juu (Interchange).
"Nimepata maelezo ya ujenzi wa barabara hii na nimeelezwa umefikia asilimia 98," amesema Majaliwa huku akiwataka kukamilisha haraka asilimia mbili iliyobaki.
Majaliwa pia alibainisha kuwa ukaguzi alioufanya leo ni wa mwisho, “kilichobaki ni kufanya maandalizi ya uzinduzi utakaofanywa na Rais Magufuli."
Amesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara hiyo kutarahisisha usafiri kwa wananchi wanaotoka katikati ya jiji kwenda maeneo ya uwanja wa ndege pamoja na wale wanaotoka Buguruni na Temeke.
Kuhusu ujenzi Ubungo amesema, “tunataka na pale Ubungo kujenga Interchange ili kurahisisha usafiri."
Amesema mpango wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka kutoka mjini kwenda Pugu-Gongo la Mboto na katikati ya jiji kwenda Kongowe-Mbagala ukikamilika utarahisisha zaidi usafiri katika jiji hilo.
Majaliwa amesema Serikali inaendelea kuratibu mpango huo ikiwamo ujenzi wa barabara za juu eneo la Mwenge na makutano ya Uwanja wa Taifa kwenda bandarini na Morocco, Kinondoni.
Katika ziara hiyo Majaliwa ameambatana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad) na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Flyover ya Tazara kuzinduliwa Oktoba
 
Inafanana hivi ama ni kitu aesthetically ipo chini?
That's poor designed interchange the top most level magari yanapishana one Lane. Only in Kenya the Chinese people do that. Nothing to be proud of as that is 2.5 levels interchange.
 
That's poor designed interchange the top most level magari yanapishana one Lane. Only in Kenya the Chinese people do that. Nothing to be proud of as that is 2.5 levels interchange.
Hebu weka picha tuweze kutofautisha mbivu na mbichi.
 
Siku zote kinachofanyika Kenya ndio sahihi kuanzia katiba mpya hadi utendaji wa rais na mawaziri, lakushangaza ni kwamba huko ambako wanafanya makosa, rushwa na matumizi mabaya ya pesa za umma vinapungua, uchumi unakua kwa kasi, huduma za kijamii zinaboreka Sana na crime rate inakaribia zero, ila huko ambako wanafanya sahihi mambo yanazidi kuharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa haaa haaa
Nenda TAZARA ukaone live bila chenga.
😀😀

Halafu nakumbuka mara ya mwisho nilipita pale, niliona ni barabara tu imepita juu ya interchange, hamna chochote cha zaidi, vitu kama hivyo tunavyo vingi tu, nyie kamoja kamechukua muda mwingi na bado hamjaanza kutumia.
Hebu ona moja ya zetu, nikipata fursa nitakujazia mapicha humu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…