Wapi ulipo now? Tupe gwara wakuu wenzio wa JF

Wapi ulipo now? Tupe gwara wakuu wenzio wa JF

CCM Music

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,784
Wape hi wakuu wenzio wa JF popote pale ulipo. Fanya hivyo kila siku kila uki login JF wape gwara wakuu wenzio wa JF.

Then, endelea na harakati zako!

Ukiweza kusindikiza post na ka picha, inakuwa safi zaidi.
 
Npo hewani aisee
__.nevers.__-20190829-0004.jpeg
 
Back
Top Bottom