Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya kazi yao nzuri... Salama Tanzania
Daaaaaaaaaah aiseee umenikumbusha mbali mnooo wahindi hawa
"Jambo habari gani mzuri salama Tanzania, ukiuliza habari salama Tanzania funga safari ya Tanzania ×3 salama Tanzania"
enzi hizo RTD mtangazaji bwana Malima Nderema