Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Hope mu wazima. Kwa sie wakongwe ni wapi viota vizuri vya kubarizi? Wakati mwingine katika umri huu kuanzia miaka 35 na kuendelea bila kubagua jinsia tunahitaji tena kurichaji mbongo zetu tunapokutana na watu wapya ili kuyajenga pia. Maeneo mazuri ya burudani ni wapi?